WAKATI WAREMBO WA IFM WAKIJIANDAA NA MISS REDD'S 2013,T.I.A WACHEMKA NA MASHINDANO YAO CLUB MAISHA

Hawa ndo warembo wa chuo cha IFM wakijianda kwa kushiliki miss REDD'S 2013 baada ya mashindano yao kuenda vizuri.

Huku T.I.A wakichemsha kwenye maandalizi yao. Na huku watu wengi wakilalamika kuwa matokeo yalikuwa yamepangwa kablaa ya mashindano kuanza inaonesha wazi kuwa tanzania hatuta endelea kama mwendo utakuwa kwa dizaini hii kama uliwezakufika maisha club ijumaa hii na unamacho na kufatilia mashindano yale lazima utakuwa umweona kuna jambo lilikuwa linaendelea nyuma ya panzia.
nakulikuwa na malalamiko mengi sana moja wapo na lililo nishanganza nikile ambacho mshiliki mmoja kuingia ndani na namba ambayo ilikuwa imecholwa na karatasi kitu ambacho utawala unaonekana haukuwa makini na kazi yao au hawakujua idadi ya washiliki wao

na kambini walikuwa wanafanyanini kama idadi ya washiliki wao walikuwa wanawatambua wazi kama wambo idadi gani

bila kusahau swala la ngono kwa madada zetu pale watakapo shiliki kwenye aya mashindano kwamba ukitaka kushinda lazima utoe rushwa ya ngono jambo ili sio la busara ila wapo wasichana wenye akili ndogo na kujifanya kuwa wao ndio kila kitu na kujitoa kimwili ili waweze kushinda katika mashindano hayo swali ni kwamba
ulisha wai kujiuliza uyo aliekuomba rushwa ya ngono amesha waomba washiliki wangapi ,na amekubaliwa na wangapi weweona jinsi mlivyo kuwa washiliki wengi then hakuna mtu anaejua afya ya mwenzake iyo ni siri ya kila binadamu,
kuna magonjwa mengi sikuizi ya zinaa dunia ya sasa ila mtu anajitoa mwili wake ili hapate kushinda tu basi.

Leo umetoa kwa chuo itafika mbele tena kwenye wilaya utajitoa tena na hautoishia hapo itavika ya mkoa utajitoa tena na mwisho wake miss tanzania tena utajitoa hivi wewe utakuwa mtu wa aina gani yani mi sijui,
na ukifika uko kwenye miss world tena utajitoa au? itakuwaje.

Jamani embu tubadilike tukanza na washiliki wenyewe alafu ndo itafika kwenye uongozi kwani kila miss akisema NO itakuwaje? hakutokuwa na mashindano au itakuwaje mi sizani kwa kitu kama hicho mashindano yataendelea kama kawaida na wale waliotaka rushwa ya ngono watadondokea pua TANZANIA TUBADILIKENI
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment