Sikuwahi kujua mengi kumhusu mdada huyu, nilikua namchukulia tu ni rafiki wangu wakawaida katika facebook, na hii ndo profile yake FLORA BAHATI LYIMO na hii ndo link ya blogu yake BLOG YA FLORA LYIMO , Kwakweli kama ni kweli ametendewa sheria ifuate mkondo wake, ila kama ni uongo naye sheria impitie kwakuwa ni msumeno!!
Ona Picha zake hapa:
0 comments:
Post a Comment