MPIGIE KURA KALAJEREMAYA

sASA KAZI IMEANZA NAWAOMBA MSAADA WENU WA HALI NA MALI, MWAKA HUU NIMEFANIKIWA KUINGIA KWENYE CATEGORIES NNE ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS. SASA MUDA WA KUPIGA KURA UMEFIKA KUANZIA LEO NIPIGIE KURA ILI UNIWEZESHE KUSHINDA TUZO AMBAZO NAWANIA

1 WIMBO BORA WA MWAKA
2 MSANII BORA WA HIP HOP
3 MTUNZI BORA WA MASHAHIRI YA HIP HOP
4 WIMBO BORA WA HIP HOP

JINSI YA KUNIPIGIA KURA
KWA NJIA YA MESEJI (SMS)
1 andika AA1 kisha tuma kwenda 15345
2 andika AH3 kisha tuma kwenda 15345
3 andika AW3 kisha tuma kwenda 15345
4 andika BT3 kisha tuma kwenda 15345

KWA NJIA YA MTANDAO
www.kilitimetz.com
2 ktma2013@innovecdc.com

KUMBUKA KILA CATEGORIE INAJITEGEMEA SO PIGIA KURA CATEGORIES ZOTE NNE 
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment