MAMBO BADO ASEMA J.DE


Baada ya Bw. Ruge Mutahaba kuzungumza asubuhi ya leo kuhusu kinachoendelea na mwanamuziki Lady JayDeekwenye mitandao tofauti ya kijamii ...
Sasa, kupitia ukurasa wake wa Facebook msanii Jide amefunguka kwa mara nyingine kwa kuandika haya ... "Kama mtakumbuka niliahidi kutoa awamu ya pili tar 15 au 17 May na ahadi ni deni..Japo naona mbali ila Nitafanya hivyo, bado nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu Ruge na wenzake... Ile ilikuwa ni trailer tu, Movie ndio linaanza sasa #TeamAnaconda no surrender"
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. iron lady !forgive and move on. we trust in you JIDE, what has been opened for you no one can close!! you will always a be a shinning star.

    ReplyDelete