MAANDAMANO YA KUPINGA MISHAHARA YA WABUNGE YAENDELEA NCHINI KENYA


Maandamano ya kupinga mishahara ya wabunge [occupying parliament] yanaendelea nchini kenya kwenye picha ni nguruwe wanaowawakilisha wabunge miatatu arobaini na tisa.Mashirika ya kutetea haki za kijamii wanawataka wabunge kuzingatia hali ya kiuchumi nchini na kukoma kuingilia shughuli za tume ya kuratibu mishahara ya watumishi wa umma SRC.Tayari waandamanaji wametawanywa kwa kurushiwa vitoa machozi na maji na polisi wa utawala wakishirikiana na wenzao wa GSU na polisi wa kawaida kwa jaribio la kuingia kwenye majengo ya bunge na kuwatimua wabunge,Tume ya kuratibu mishahara nchini SRC inayoongozwa na bii sara serem inapendekeza mshahara wa kati ya shillingi laki tano hadi laki saba pesa za kenya.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment