habari zenye uhakika kutoka kwa Dr aliekuwa ICU, katika hospitali ya St Hellen Joseph, zimethibitisha kuwa msanii aliekuwa na Ngwea wakati mauti yanamkuta, ambae yeye pia alikua hoi hospitali, anaendelea vizurin, na anaongea kwa sasa na kumuhulizia ngwea kwa mara ya kwanza nailo ndo neno lake la pili tangu atoke icu , ila uchunguzi wa kile kilichosababisha kufikishwa hospitali hapo bado unaoendelea
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment