hivi ndivyo watoto wa kitanzania wanaosoma nchi za hapa jirani wanacho kifanya wakiwa huko mashuleni

wazazi wamekuwa sio makini sana na mahamuzi wanayo yachukuaga kwa watoto wao kuwapeleka wakasome nchi za jirani bila kufikiria mtoto wake ataishije akiwa uko, Watoto wengi wakitanzania wasomao nje ya tanzania asa asa nchi hizi za jirani wamekuwa wakizurura siku nzima wakiwa nje ya shule huku wakikosa masomo yao na vipindi pia vya darasani.

Wazazi kabla ya kuwapeleka watoto wao wakasome nje inabidi wajiulize maswali mengi sana moja wapo ni hili "ni nani atakae muangalia na kumsimamia mwanagu akiwa huko masomoni? hakikisha mzazi unapata jibu kamili na jibu ambalo litakuwa na faida kwako na kwa mwanao,kila mtu anajua wazi kwanini wazazi wengi wa kitanzania upeleka watoto wao nchi za jirani wakasome bila ya wao wazazi kujua au kuwa na uhakika kama kweli mwanangu kwa mda kama huu atakuwa darasani au mda kama huu atakuwa amelala domu hivi ni vitu vya kujiuliza sana wewe kama mzazi.
Hii ndio sababu moja kubwa sana hinayo wafanya hadi wazazi wengi kuwapeleka watoto wao kusoma nchi za jirani"ELIMU YA TANZANIA PAMOJA NA WIZARA NZIMA YA ELIMU AIFANYI KAZI YAKE KAMA INAVYO TAKIWA "bila kusahau shule zetu zina uhaba wa vifaa vya shule pamoja na walimu kwaio huwalazimu wazazi kuchukua jukumu la kuwapeleka watoto wao nje ya nchi.

HAYA NDIO MAMBO WANAYO YAFANYA WATOTO WA KITANZANIA WAKIWA UKO MASHULENI KWAO
1.kutoloka vipindi
2.kuvuta bangi kwa jinsia zote
3.kunywa pombe hadi kufikia hatua ya kutojielewa
4.kujiuza mihili yao(malaya)
5.wizi kwenye maduka makubwa makubwa na hata sokoni
6.kucheza kamali
7.kupiga picha za uchi
8.usagaji kwa jinsia ya kike
9.kulawitiwa kwa jinsia ya kiume
10.kufanya kazi za ndani kutafuta pesa ya kutumia

izi kumi zote ndo asilimia kubwa ya watoto wakitanzania hukifanya wakiwa huko masomoni bila wazazi kujua swala hili mimi linanipa uchungu sana nikilifikilia na nikiona watoto kama hao hapo juu wakiwa club usiku tena ukizigatia nchi kama uganda clud kiingilio chake niela ya chini sana sana kitu ambacho kinawafanya watoto wengi wa kule kuingia club kama unanibishia wewe mkamate mtoto yoyote yule aliesoma uganda kwa sekondali sio aliosoma shule ya msingi  ikimpata muhulize au jifanye unamuoji maswali kuhusu nchi ya uganda shule na mazingira ya kule atakuambia tu kama hutamuhuliza kinachotokeaga kwa wanafunzi wakitanzania inawapelekea wengine hadi kubakwa na kutoa mimba wakiwa bado watoto.

Kunawatu wengine bila kuwasahau hawa ni walimu wa hizo shule inasemekana huwa wanawafanyia vitu vya ajabu sana watoto wakitanzania wasomao huko shuleni mwao huwatishia kuwafukuza shule,kuwaferisha kwa makusudi mitiani yao kama watakataa kufanya nao mapenzi kitu ambacho kwa msichana alieambiwa elimu ndo kila kitu kwake na kwa familia yake ijayo kwamba bila kusoma na kufaulu maisha yake yatakuwa mabaya  na kwa vitisho vya wazazi kwamba ukiona umeferi usirudi nyumbani basi inamfanya mtoto ajiingize kwenye rushwa ya ngono bila kujali maradhi ambayo mwalimu huyo anaweza kuwa nayo kama:
1.ukimwi
2.kisonono
3.kaswende
na magonjwa mengine ya zinaa.

unakuta mtoto ameludi nyumbani ameanza kunywa pombe wewe unahanza kujiuliza ameanza lini badala ya kujiuliza nifanyenini mwanagu ahache kutumia pombe,ili nijambo ambalo wazazi wengi ukosea kufanya

ushauli wa bure kabisa wazazi wote na watanzania kwa ujumla tushilikiane ili nchi yetu iweinatoa elimu bora sio bora elimu kama ilivyo sasa nchi yetu inatoa bora elimu na sio elimu bora
ivi ni nchi gani ambayo umewai kusikia eti mtoto aliemaliza darasa la saba anaingia chuo kikuu na kusoma kama mwana chuo ehee ivi hii nchi inafikilia nini?atamtoto awe na hakiri hadi zinamwagika lazima aingie kunye mstali anaotakiwa hapite sio kufanya kumpeleka tu mbele kisa hana akili nyingi hadi zinamwagika huu ni upumbafu ukizingatia sisi tunaiga nchi zilizo endelea ila hatujui hii kitu serikali yetu wameitoa wapi na nchi gani.
Wameona haitoshi walio mliza form four wanawapa credit za bure eeeh inaumiza sana jami mmmmmmmmmmmh
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. I come from Tanzania, living and working here in Kampala, Uganda. This is very serious and true. Hii nchi ina club ambazo unanunua maji km kiingilio na kucheza disco mpaka asubuhi. Wazazi wa Tanzania kuweni makini kuwaleta watoto wenu huku!

    ReplyDelete