Mwandishi maarufu wa vitabu vya "Things Fall Apart" na "No Longer At Ease" barani Afrika - Chinua Achebe, tayari amezikwa na kuwaacha maelfu ya wasomaji wa vitabu vyake, hususani Tanzania watamkumbuka kwa umahiri wake wa kuandika vitabu vilivyotumika hata mashuleni.
Wengi watamkumbuka Chinua Achebe kwa umahiri wake wa kuandika vitabu.
Ndani ya jeneza ndimo marehemu Chinua Achebe alimopumzishwa.
Wengi watamkumbuka Chinua Achebe kwa umahiri wake wa kuandika vitabu.
0 comments:
Post a Comment