CHEKI MAONI YA WATU MBALI MBALI BAADA YA RUGE KUTOA AMRI KUWA CLOUDZ FM ISIPIGE NYIMBO ZA BONGO FLAVA HII NDO #MADEINTANZANIA



Kupitia mitandao tofauti ya kijamii, baadhi ya watu maarufu wameonekana wakiandika mawazo yao tofauti juu ya uamuzi alioutoa Bw. Ruge Mutahaba wa kutopiga nyimbo za Bongo Flava siku nzima ya jana katika kituo cha radio chaClouds FM...
Check baadhi ya posts za baadhi ya wasanii na watu maarufu kuhusiana na tamko hilo hapa chini ...
Bw. Ruge Mtahaba alitamka hayo wakati alipokuwa akifanyiwa mahojiano katika kipindi asubuhi cha Power BreakFastwakati alipokuwa akiongelea ishu nzima kuhusu yeye na Mwanamuziki Lady Jaydee ...
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment