Ney wa mitego ni msanii wa bongo fleva ambae toka ameanza kuimba mziki ni nyimbo moja tu ndio ameimba bila kumdiss mtu yoyote yule na hio nyimbo ndo nyimbo yake inayohusu mapenzi.ila ukicheki zengine zote ni kuwasema watu ila mimi sijui kama ana wasema kwa ubaya au kwa uzuri na kwanini ameamua kufanya mziki au kutoka kihivyo kama unafatilia toka halipo hanza mziki nyimbo iliyo mtoa ni nyimbo aliyo wadiss wasanii wa bongo fleva.
Ney amekuwa mtu anaewasema sana ovyo wasanii wenzake kupitia nyimbo zake na hakiwa katika maojiano na wahandishi wa habari au vipindi vya kwenye runinga anacho kijibu ni kwamba NANUKUU"sijafundishwa kwetu kumuogopa mtu" ilo ndo jibu lake kila atakapo ulizwa kwanini anajiamini sana hadi kuwa sema wakali kama chidi beez wengi wetu tuna mjua huyu jamaa huwa achelewi akikutana na wewe.
Utafiti uliofanywa na muhariri wetu wa SUCCI1.BLOGSPOT.COM amegundua kwamba msanii NEY WAMITEGO anamiliki bastola aina ya ERZ10,ikabidi amtafute na kufanya maojiano nae.
Katika maojiano nae NEY akahanza kufunguka juu ya mziki wake anaoufanya hadi kupelekea yeye kununua bastola.
SUCCI1: Ney mambo vipi mkubwa kwanza shikamo.
NEY:ahahahahahahah acha habari zako ndugu yangu mi niko poa sio unaniamkia acha kunizehesha
SUCCI1:ahahaa mkubwa na kupa heshima yako bana,ila sio kesi sio deni ngoja niseme kilicho nileta.
NEY:mmmmmh niambie nakusikiliza
SUCCI1:kwanini kila nyimbo yako lazima uwadiss wenzako?kasoro nyimbo moja tu kama sikosei?
NEY:wenzangu wakina nani? pili mimi siwasemi watu kiubaya nipo hapa kulekebisha na kuwanyohosha wasanii wa tanzania ndo maana mimi na wasema sana na nitazidi kuwasema hadi wa change.
SUCCI1:mimi kila kukicha nasikia leo ney na shirole mara ney na madee mara ney na chidi mara niki mbishi kwanini wewe kila siku na unajiamini nini hadi unafikia hatua hadi ya kumdiss chidi beez a.k.a chuma eeh?
NEY:kwanza naomba ulitambue ili kwamba mimi sijafundishwa kumuogopa mtu ata mama yangu mzazi analitambua ili swala la chidi sijui nimejiamini vipi ilo mimi sijui ila ukweli lazima nikuambie ukikosea chidi ameanza game mdaa sana tu ni kaka yangu ndani na nje ya game letu ili la mziki kwaio akikosea lazima nimwambie bro hapa sio ivyo ehe ni hivi.
SUCCI1:na tukicheki hii nyimbo yako mpya watu wanasema wewe ndio ulie mtungia mistari daimondi ni kweli?
NEY:ahahahahahahahahah aya maneno ya watu mi sijamtungia mistari daimondi kwanza kila mtu anajua kwamba dogo ni noma atazaidi yangu itakuaje mimi nimuandikie nini cha kusoma no nalikataa
SUCCI1:ok toka uanze kuimba hizi nyimbo zako umefaidika nini katika sanaa ya muziki?
NEY: Daaaaaaa kwa kweli nimefaidika sana na ninaendelea kufanya juhudi ili niendelee kujiendeleza kiuchumi mziki mimi naimba kama starehe yangu siufanya kama kazi ila huu ndo umenifanya nipate mtaji wa kuanzisha biashara zengine tofauti tofauti kila mkoa mimi nikienda kufanya show ndo na hukohuko nafanya biashara zangu.
SUCCI1:biashara nyingi hapa mjini bana wewe unafanya biashara gani na utuambie fitu ilivyo vipata toka umeanza kuimba na kushanya biashara zako?
NEY:ahahahaha usiogope mimi ninafanya biashara ya nguo na kuhuza vitenge hivi vya wakina mama na madada nimeweza kununua magari na kupanga nyumba na kuna sehemu napolomosha mjengo soon,licha ya hayo nimeweza kununua BASTORA kwa hajili ya kujilinda kwenye safari zangu za mikoani sio kwa hajili ya wasanii ninao wadiss hapana najua nakuona unafurahi.
SUCCI1:amna lazima nifurahi kumbe unakitu ambacho kinakufanya hujiamini kiasi icho eheh, umeipata kwa pesa ngapi?
NEY:hapana siwezi sema kwa kweli hii ni juu yangu mimi na huko nilipo itoa asanteni inatosha
Ayo ndo yalikuwa maojiana kati ya muhariri wetu wa succi1 na ney wa mitego asa kazi kwa nikki mbishi tumepata tetesi kwamba wanatupiana maneno na chafu na ney huko BBM
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment