![]() |
T.I |
Rapper T.I. Amekerwa Na Kitendo Cha
Vyombo Vya Habari Cha Kunganisha Magaidi Waliosababisha Mlipuko Wa Mabomu Mjini
Boston Marekani Na Mziki Wa HipHop. T.I
Amesema HipHop Inahusu Amani Na Upendo tu Na Sio Jambo Lingine Na Ni Kitu
Kibaya Kuhusisha Mziki Wa HipHop Na Magaidi.
Fahamu Kuwa Taarifa Hizi Zilitoka
Baada Ya Uchunguzi Kugundua Kuwa Mmoja Ya Magaidi Hao Tamerlan Tsarnaev Amekuwa Akitembelea Tovuti Ya Real-HipHop.com
na Ana Email Kwenye Mtandao Huo.
T.I Amekerwa Zaidi Na Vyombo Vya Habari
Kusema Mlipuko Huo Wa Mabomu Umesababishwa Na Mapenzi Ya Muziki Wa Hiphop NaKusema
HipHop Ina Tafsiri Utamaduni Na Maisha Yetu, Haitengenezi Utamaduni, Pole Kwa
Familia Zao Na Tunazidi Kuwaombea.Mdogo Wa Tamerlan, Dzhokhar Alikamatwa HaiIjuma April 19
0 comments:
Post a Comment