
Ray aliendelea kulikwepa swali ilo na kujifanya akiwaita wasanii wengine huku akimwambia zamaradi asubili kwanza kitu ambacho kiliwashangaza watu wengi ni pale RAY alipomuhita steven nyerere na kusema huyu ndio atakae ongoza shughuri nzima ya leo na kulikimbia swali la zamaradi.
Zamaradi akuchoka kumuhuliza ray kwa mara nyingine ila bado ray alionesha kwamba akuna kitu chochote anacho kikumbuka kutoka kwa marehemu kwa maana alikuwa akimng'ang'aniza JB acheze bale jukwahani ili achekeshe watu wakati hii siku ilikuwa ni yahuzuni kwa wasanii wenzake na mashabiki pia,ray ameonesha tabia chafu mbele ya umati kwa mara nyengine pale anapo muhuliza ben msanii mwenzake swali linalosema "kwanini unanichukia" uku ben akioneshwa kushangashwa na swali ilo la ray
ULE MSEMO UNAOSEMA "ATA UKIONGEA POINT MSIBANI WATU AWATAKUPIGIA MAKOFI IMEMTOKEA RAY KWA SIKU YA LEO
0 comments:
Post a Comment