Jay-Z Alishawahi Kusema Miaka 3 Iliyopita Kuwa, Ipo Siku Atawekeza Mamilioni Ya Dollar Za Kimarekani Kwenye Club Ya Arsenal. Nadhani Itatokea Siku Zakaribuni. Hii Ni Baada Ya Rapper Jay z Kuonekana Akifatilia Kwa Ukaribu Zaidi Mechi Ya Arsenal Na Man Untd Weekend Hii. Kwenye Mechi Man Na Arsenal Walitoka Droo Ya Bao 1-1.
Jay-Z Alishawahi kusema Mchezaji Wake Kipenzi Ni Thierry Henry Wakati Yupo Arsenal Na kwa Sasa Anaye Vaa Jezi Hio Ni Theo Walcott Aliyefunga Goli La Arsenal Walipokutana Na Man.
0 comments:
Post a Comment