
Mkurugenzi wa East African Melody Taarab Hadji Mohamed enzi za uhai wake.
Mkurugenzi wa East African Melody Taarab, Hadji Mohamed, amefariki dunia
asubuhi hii baada ya kuugua kwa muda mfupi katika hospitali ya Taifa
Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!
0 comments:
Post a Comment