MC Lupe Fiasco ametumia akaunti yake ya twitter, siku ya jumapili
kuongea dhidi ya maudhui yanayochochea vurugu katika vyombo vya habari
na katika muziki wa rap kwa ujumla
katika tweets zilizofatana ndani ya muda wa dakika 20, Lupe anadai kuwa
uhusiano wa dhahiri kati ya vurugu katika muziki na ulimwengu wa kweli.
aliendelea
kuwaambia rapppers ambao anahisi wanatumia picha za vurugu katika
mziki wao na kusema wanahitaji kuchukua jukumu kwa maudhui
wanayozalisha na madhara yake katika jamii
kuomboleza
kwa mwenyeji huyo wa Chicago kupitia mitandao ya kijamii, inaonekana
kusababishwa na vurugu zinazoendelea katika mji wake pamoja na habari
iliyoripotiwa kuhusu mauaji ya mtoto mdogo, Georgia.
Hii sio mara ya kwanza kwa Lupe kutoa maoni yake juu ya kuamini kuwepo
na uhusiano kati ya vurugu zilizoko katika muziki na vurugu za mtaani,
mwaka jana alimchana rappar Chief Keef na kusema utamaduni
anaouwakilisha ni wa vurugu na kuwa anamtisha kwa utamaduni huo.
0 comments:
Post a Comment