HUYU NDIO VIDEO MODEL MTANZANIA ALIEFIKA MBALI HADI KUFANYA VIDEO NA T.I AND RICKY ROZY
Huyu ni mtanzania alie amishia makazi yake nje ya nchi na kufanya kazi yake huko huko ya uvideo model na kufanikiwa kufanya kazi na wasanii wakubwa kama t.i na rozeee anakuja bongo kufanya kazi na wema sepetu kwenye moja ya movie za wema ni meona ni vizuri kushea na wewe mtanzania mwenzangu
0 comments:
Post a Comment