DIAMOND AMTOLEA NJE WEMA NA KUMPAMBANISHA NA PENNY AMRIKODI NA KUSAMBAZA CLIP


 Clip iliyosambaa inayomuhusisha Wema,Diamond na Penny tumeipata,mazungumzo hayo yanayo honesha kurekodiwa kwa maksudi na Msanii Diamond pale alipopigiwa simu na Wema Sepetu jana usiku. Inasemekana Wema alimpigia simu Diamond usiku,lakini baada ya Diamond kupokea  simu hiyo iliyo pigwa na wema alimtaka kuacha drama na kumsisitizia kuwa sasa hivi anampenda Penny.
mambo yalikuwa kama hivi
Diamond: mi sikufanyii drama na wala sitaki drama yoyote, am in love with penny we unajua hilo right?
Wema: yeah your in love with penny and i i ... 
Diamond: sipendi kwa sababu sipendezewi kwa sababu mwisho wa siku itakuja kutuletea matatizo drama, nakujua kitu kidogo hukawi kukifanya kikubwa mji mzima na nini na nini sitakiiii.
Penny: hallo, which one is this?penny alimuhuliza daimond, hallo hallo 
Wema: mmmh
Penny: hallo
Wema: mh 
Penny: we want to sleep mamy
Wema: heey my angle poa
Penny: baby wacha tulale ya?
Wema: mmh
Penny: wacha sisi tulale 
Wema: uko poa
Penny: niko poa mamy yangu, can you let us sleep now mmh, si hatutaki matatizo na wewe we usitake matatizo na sisi, lets just live one happy life
Wema: he told you am the one who is troubling him 
Penny: yeah but you are always trying to cause trouble wema, your always trying to cause trouble, when did you want something peaceful,when? i mean when he said look here, when he said, he is in love with me, i dont know, for some reasons i expected you to respect that, because all you have done is to bring us trouble, seriously, and all this things you do, they tell us kwamba wewe ndio unafanya, so lets just see......you sleep, us guys sleep, and act like this comversation never even happened, good night, good night, wema , wema (kimya)
Diamond: nadhani dishi wenyewe mmelisikia, haina haja ya kuongea sana, mmewasikiliza, tulikuwa niko mimi halima kimwana, na mke wangu hapa, mimi ndio nimepigiwa simu na wema ananibembelezwa, bahati mbaya nikampa baby aongee nae, kumjulisha jinsi gani niko in love, asanteni sana nilikua narecord mi mwandishi wako Nasib Abdul Juma, nashkuru sana  sana
Wema: Mi sijaongea na mtu jana, like us in aaah nimee no as in nimeambia halafu sikujua kama iko iko this big, kama wananichokoa wapate kiki, kwa sababu wanaona kama hawana kiki then thats something else unajua eeh, kiki  watafute sehemu nyingine sio kwa wema sepetu, sawa? mi ninajijuwa me am a star, am a star like all over tanazania hakuna star kama mimi sawa eeh, kwa hiyo kama wanaona kama wanaweza kupata kiki kwa kutokana na mimi kama star because they are looking for names, thats fucked up owkey. Sudy mi nakuheshimu sana wewe na ninajiheshimu sana na mimi mwenye...........
sitaki kuanza kuchokonolewa kuanza kutengenezewa sijui vitugani, mi nimesikia tu kupitia bbm siju.mimi  nimekaa tu kimya, am just quite na sijafanya kitu chochote am just quite, and am just going to stay quite, na usingenipigia simu mi ningeendelea kukaa kimya.
Sudy: skia bado unampenda Diamond?
Wema: Hapana siwezi kumpenda, wewe
kumtamani?
Siwezi
kwanini?
hasa wakazi gani mi nishadili na Diamond and its done, haikuwa rizki kila mtu ameenda na mambo yake, am very very happy where iam......
Diamond nae alivutiwa waya, chezea Sudy wewe 
ile clip ilikuwa jana, jana kanipigia simu usiku naona simu yangu inaita aaah najiuliza nani, napokea aah akawa anibembeleza nini na nini yeah, mi nikamwambia wema mi nina mahusiano yangu sasa hivi..........uzuri nilikuwepo na baby pale pale, ili kesho na kesho kutwa asije kukataa, nilimrikodi mwanzo mwisho......
Sudy: Wema anasema we utakuwa unatafuta kiki
Diamond: mimi? mi nayeye nani anatafuta kiki, yeye si ndio kanipigia simu, ye ndo atakua anatafuta kiki ya kutaka kurudiana na mimi, kanipigia simu jana usiku akinibembeleza kurudiana na mimi ndio maana nikampa simu mke wangu nkamwambia ongea nae........

SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment