
.
Baada ya Kanye West kuidiss “Suit
& Tie’ ya Justine Timberlake na Jay Z mwanzoni mwa mwaka huu kitu
ambacho kilimfanya Timberlake nae kumjibu, mengi yalizungumzwa ikiwemo
kutokuwepo kwa uhusiano mzuri kati ya J na Kanye lakini kumbe sio,
wameonekana pamoja tena wakiwa na furaha muda mfupi baada ya Kanye West
kuonekana akifanya shopping ya mama mtoto wake Kim K.

.

.

picha zote kutoka necolebitchie.com
0 comments:
Post a Comment