TID aongelea kuhusu ugomvi ulio ibuka wa washikaji zale wawili kati ya chidi benz na ngweair asema wanamchanganya aya ndo maneno ya tid "unajua mimi awawatu wawili mi siwaelewi wakubwa wazima wanapigana pigana tu ukiuriza chanzo nini eti uyu kani ita dogo what the hell?mi wananipotezea mambo yangu nashidwa kuwaza maswala ya mziki nawafikilia wao bana,wakati watu tunakaa nao kila siku pamoja tunakula pamoja tunacheka pamoja daaaaah kwakeli mi imeniuma na imenitia hasara kwanza imeniperekea hadi nikafunya kioo cha gari yangu
Mi nilicho kifanya ni kumpeleka uyumwengine hospital na kumwambia uyumwengine akapumzike nyumbani akijifikiria zaidi why?amefanya ivyo mimi kila mmoja nimemmaindi yani wahache mambo ayo
0 comments:
Post a Comment