STORI YA JADEN WA WILL SMITH KUWA MAPENZINI NA HUYU MREMBO IKO HAP

.
.
Ni moja ya stori kwenye headlines sasa hivi kwamba mtoto wa movie Star Will Smith, Jaden Smith (14) na mdogo wa Tv Star Kim Kardashian, Kylie Jenner (15) wako kwenye uhusiano wa kimapenzi japo wenyewe hawajathibitisha hilo.

US Weekly wameripoti kwamba ni uhusiano mpya ambao umeanza baada ya wawili hawa kuwa marafiki kwa muda ambapo wamekua wakionekana pamoja sehemu mbalimbali, ya hivi karibuni ikiwa ni  Caffe Nero London Uingereza Jaden akiwa amehudhuria party ya mshkaji Justine Bieber kutimiza umri wa miaka 19.
.
London.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment