Kwa watu wanaotumia Blackberry (BBM),wanaweza wakaona alichokiandika Ney wamitego kwenye ukulasa wake wa bbm inaonesha wazi kuwa wawili hawa kama wamefikia pabaya sana hadi kufikia hatua ya kutoa maneno machafu kiasi hiki nimoja ya njia inayo onesha kwamba hapa patikana mshindi kila mtu anawajua watu hawa kwamba tabia zao zina kalibiana kufana sababu wote wanapenda mabiff na wana rekodi mbaya sana wote wawili

Sababu hasa ya Ney kupandwa na hasira kiasi hiki bado hakijajulikana
kwasababu nimejaribu kumtafuta na simu yake haipatikana.
kitakachoendelea utakipata hapa as soon as info zikitufikia ila usisahau histolia zao kama ney biff lake la mwisho lilikuwa na bongo movie akiwemo shirole na niki mbishi aka baba marco biff lake la mwisho lilikuwa na weusi watoto wa arusha akiwemo niki wapili
0 comments:
Post a Comment