
izo b ni msanii wa bongo ila imeonekana yeye ndio msanii anae jiweka kisanii zaidi hapa bongo succi1 tuliweza kupiga nae stori na yalikuwa kama ivi"mimi ni msanii so lazima nijiweke kama msani huwa inaniuma sana nikiona mtu wa kawa ida the way anavyojiweka smart basi na mimi na penda sana kuwa hivyo mimi kama msanii ni kioo cha jamii inanilazimu nijiweke poa.
Mara nyingi watu wanasema mimi naone kana kama mtu anaeishi mbele ila nipo hapa hapa bongo nanina amini kabisa wezangu nao wanapenda kuonekana tofauti ila wakae wakijua raia wanabadilika kutokana na wa
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment