
Papa Mpya Francis akitokea kwenye kibaraza kwenye kanisa la Mt. Peter
mji wa Vatican baada ya kuchaguliwa leo Jumamtano March 13, 2013. Papa
Francis ndie Papa wa kwanza kuchaguliwa ambae hatokei Ulaya na amekua
Papa wa 266, Cadinali Jorge Mario Bergoglio kutoka Argentina atakaye
waongoza Wakatoliki wapatao Bilioni 1.2 Duniani. Aliteuliwa na Papa John
Paul II kuwa Cadinali mwaka 2001

Papa Francis akiendesha sala ya kuiombea Dunia kwa mara ya kwanza kama Papa
0 comments:
Post a Comment