FA:UBUNGE TUWAHACHIE WATU KAMA WAKINA MR.TU AKA SUGU

Mwana fa asema ana mipango ya kugombania ubunge jimbo lolote la tanga.Yamezuka maneno kwamba msanii wa miondoko ya rap na msanii mkongo wa bongo freva MWANA FA kwamba mwaka 2015 atagombea ubunge kwenye majimbo ya tanga.baada ya kukutana nae mitaa ya upanga mwana fa alifungua ivi na kusema kwamba ana mipango yoyote ya kuwa mbunge kabisa na ametosheka na  kazi aliokuwa nayo na cheo alicho kuwa nacho cha kusaidia jamii alisema FA "mimi kama mimi sina mipango yoyote ile ya kujitumbukiza kwenye siasa kwenye maisha yangu kwa cheo hiki nilicho kuwa nacho mika yaleo ni wazi kabisa kinatosheleza kuwasahidia jamii ila sio kuwa mbunge kwanza atasijui yametokea wapi maswala ya mimi kuingia kwenye siasa mambo kama ayo tumuachie sugu ndo mwenyewe anayaweza sio mimi"alisema mwana fa
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment