AFYA YA LIL WAYNE AIJAFAHAMIKA KAMA NI MZIMA

Taarifa za mkanganyiko zimeendelea kusambaa juu ya Afya ya mwanamuziki Lil Wayne hya baadhi ya vyombo kuripoti kuwa leo hii msanii huyu alikuwa katika hali mbaya sana kiafya, wakati kwa upande mwingine taarifa kutoka kwa watu wake wa karibu zikiwa ni kinyume chake.

Ukweli ambao upo kwa sasa ni kwamba Wayne yupo poa na anaendelea vizuri na ni kweli kuwa alizimia lakini hiyo ilikuwa ni juzi na alirudi katika hali ya kawaida baada ya kuwahishwa hospitali.

Birdman na Mack Maine ni moja ya watu wa karibu kabisa wa msanii huyu ambao wamekuwa mstari wa mbele kuwahakikishia watu kuwa Wayne yupo sawa.

Msanii huyu amewashukuru watu wote kwa kuonyesha kujali afya yake huku kwa upande mwingine kukiwa kumezuka ugomvi kati ya timu yake na mapaparazi wakiongozwa na mtandao maarufu wa TMZ ambayo ndiyo ilikuwa ya kwanza kuripoti kuwa rapa huyu yupo hoi.


Weezy kupitia twitter pia amewashukuru watu wote kwa kuonyesha kujali afya yake huku kwa upande mwingine kukiwa kumezuka ugomvi kati ya timu yake na mapaparazi wakiongozwa na mtandao maarufu wa TMZ ambayo ndiyo ilikuwa ya kwanza kuripoti kuwa rapa huyu yupo hoi.

TI ni moja ya staa ambaye pia ameonyesha kukasirishwa na issue ya ripoti za tofauti za media, na kupitia twitter ameandika maneno ya kuiponda TMZ, na moja ya tweet zake ina maneno yanayosomeka.. Just holla'd @my Lil bruh Tunechi...& he skraight! TMZ some f***-niggaz for reporting that hoe-a**-sh**!!! That man daughter is like mines.

SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment