q chief
Kupitia kipindi cha XXL cha Clouds radio, Diamond alisikika akijibu maswala mengi yaliyokuwa yakimkabili lakini jambo mojawapo lilikuwa la kumuhusu msanii Q Chief aliyekuwa akimtuhumu katika mambo ya kishirikina.
Diamond akiwa na B12 ndani ya kipindi cha XXL ya Clouds Fm jana. |
0 comments:
Post a Comment