TUMBO LAZIDI KUWA KUBWA KWA AMBER ROSE
AMBER ROSE kitumbo kimekua kikubwa sana watu wanajiulisha mbona cha kim akionekani.inasemekama mama uyu mtalajiwa atabadilisha maisha yake yale ya kipindi cha nyuma.Amber ambae anatoka na msanii na rapa mashuhuri sana na machachari wiz khalifa ameonekana wakipendana sana tofauti na kipindi yupo na kanye
0 comments:
Post a Comment