Katika mizunguko ya huku na huku ni kakutana na stamina msanii miondoko ya rapu ambae kwasasa ukiwazungumzia wasanii wanao rapa tano bora razima umuweke stamina,tukapinga stori nyingi sana moja wapo ni kuhusu mziki wake na pamoja na maisha yake ya kimuziki,stamina alifunguka ivi"Katika maisha yangu ya mziki nimarefu mnoni mehangaika sana hadi kufika mahari hapa nilipo na nimejifunza mengi sana kwamba maisha sio ya kuyakatia taama kama umehamua jambo frani hakikisha unarifanya hadi unafanikiwa"hakuishia hapo nikamuhuriza vipi kuhusu game unaionaje na ukizingatia wewe bado mgeni"Game siwezi sema ni raisi kwa sababu kila mtu anataka kufika kwenye top ukiangalia kwa mziki wakibongo bongo mtu yuko radhi hakuache usote yeye afanikiwe.
KUHUSU KUVUJA KWA NGOMA YAKO WEWE UNASEMAJE?
sina husemi zaidi ya kuwashukuru watanzania na mashabiki wangu wote walio ipata ngoma yangu kabla sijaitoa inaonesha jinsi gani walikuwa wana hamu sana na ngoma mpya kutoka kwangu,na mimi nikawa na chelewa kutoa ngoma mpya na nina waomba radhi ma fanz wangu kwa kudilei sana.
SWALI LA KIUZUSHI,WEWE NA ROMA NANI MKALI ZAIDI YA MWENZAKE?
daaaah swali gumu sana ilo siwezi jibu kwa kusema mimi ni mkali zaidi yake ila muhiteni siku tupige nae fristaili ndo itafahamika tu au tufanye kazi pamoja nae ilitujue nani noma ahahahahahahahahahahahaha.
TUNAONA UPO SANA KARIBU NA KUBANDA KUNANINI JAPO KUWA TUMEONA MZIGO WAKO NA YEYE AKIWEPO NDANI?
yaaaah nikweli unajua fidq mimi napendaga sana kumuita baba yangu wamziki mimi na mkubali sana fid anavyo imba ndo maana kama utakuwa umegundua tunatofautiana kidogo sana mimi na yeye katika kurapa dat y ile ngoma tumehamua kuhiita LIKE A FATHER LIKE A SON.
UNAWAHAMBIA NINI MASHABIKI WAKO NA WASANII WACHANGA WANAOTAKA KUTOKA KAMA WEWE?
mimi napena kuwahambia wakazane wasikate taama atakama hakuna mtu anaempa sapoti yoyote ile yeye akaze mwendo ipo siku itakuwa YES,na kuhusu mashabiki wangu wakae tayari kwa albamu yangu yengine na tuzidi kuombeana kwakila kitu.
Ayo ndo yalikuwa maojiano kati ya muhandishi wetu wa SUCCI1.BLOGSPOT.COM mitaa ya mlimani city leo mchana
0 comments:
Post a Comment