Inasemekana Eti! Msanii ampeleka mwanadada
kwenye chipsi vumbi, sister alijua atapelekwa 5 star hotel mara
zege hilo mara mwanadada akaona isiwe tabu akashuka kwenye gari na
kuchukua Tax akasepeana ommy akabaki anatoa macho kumbe alikuwa amesha mwambia kwamba wataenda 5star hotel iliyoko barabara ya kwenda mbezi beach
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment