NAOMI CAMPELL YAMEMKUTA YA KUMKUTA

Naomi campell mwenye umli wa miaka 43 ambae kwa kawaida hutumia miguu yake mizuri kwa mikogo ya kupiga hatua za kilimbwende,hivi karibuni alishangaza wengi baada ya kutokeza hadharani akiwa kwenye kiti maharumu cha umeme alichokua akikitumia kwa kutembelea baada ya kuumia miguu alionekana akienda kwenye mgahawa mmoja wa chakula cha jioni.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment