MSANII WA FILAMU BONGO AMWAGA RADHI BAADA YA POMBE KUMKOLEA.






Msanii anayechipukia katika tasnia ya kuigiza Isabela a.k.a "vai wa ukweli" alijikuta akiuza utu baada ya kufakamia pombe za buree toka kwa maswaiba wake wa karibu jijini Dar,washuhuda wa tukio hilo wanadai alichanganya vileo.

Tukio hili lilitokea juzi usiku ambapo muigiza huyu alijikuta anazidisha kunywa zaidi ya uwezo wa kichwa ndipo alipojikuta anasaula nguo bila kujua kwani alikuwa chakari full chapombe,baada ya muda kadhaa maswaiba wake walimpeleka kwao angali yuko taabani.

Isabela ameigiza filamu na mastaa kibao ambapo kati ya movie saba alizocheza kama vile Good fellow,2 eyes,Black Wear,Doa la maishaMen day out na nyingine nyingi very soon.
Vai wa ukweli ndiye mpinzani wa Lulu katika matukio kama haya ikiwa wako tasnia moja na umri wao sawa ama kweli Lulu kapata mpinzani Isabela ni zaidi ya Lulu sasa kwa matukio ya kishenzi.Kaandika mussa Mateja kwenye blog yake
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment