LADY GAGA MGONJWA

mwana muziki machachali wa marekana na asiependwa na watu wazima kwakile anacho kifanyaga akiwa on steg na hata maeneo ya kawaida inasemekana anaumwa kwasasa na ugonjwa wake ni hips la kulia kumuuma kwa sana mara kwa mara pale apandapo jukwahani inasemekana kuwa mifupa itakuwa imegusana na nyongo.Mwanamuziki huyu kwajina la kisanii anajulikana kama lady gaga
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment