Inasemekana kuwa J
ay - Z na mkewe
Beyonce hawataki
Rihanna arudiane na
Chris Brown ambaye amekuwa mara arudi kwa mpenzi wake wa zamani Karrueche Tran mara kwa Rihanna.
Uvumi
huu umefunguka kuwa kwa mara ya kwanza kabla ya Rihanna kuachia album
yake mpya ya sasa, Jay Z na Beyonce walikubali Rihanna arudiane na
Chris Brown, lakini baada ya Rihanna kuwa amekwisha achia Album yake, wameamua asirudiane na Chris Brown.
Uvumi umezidi kumwaga wino kuwa,
Jay Z mkurugenzi wa
Roc Nation aliamua kumnunulia Rihanna gari aina ya
Porsche 911 Turbo pamoja na nyumba yenye thamani ya
dola milioni 12, ili Rihanna asirudiane na Chris Brown.
Ukweli utafahamika tu, kama yasemwayo yapo au ni beef za mtaani tuuu!!!!!!
0 comments:
Post a Comment