
.
February hii Tv Star Kim Kardashian ambae pia ni mpenzi wa rapper Kanye West anaitembelea Nigeria kwa mara ya kwanza baada ya kupata dili la kuwa co-host wa show ya Valentine’s love Consert itakayofanyika february 17 2013.
Mastaa ambao watakua nae kwenye show ni pamoja na 2Face, Naeto C, Jozi wa S.A, Flavour na Ice Prince.
Kim K amethibitisha kuja Africa kupitia page yake ya twitter yenye mashabiki milioni 17 baada ya mmoja wa mashabiki kumuuliza lakini haijajulikana kama atakuja na Kanye West.

.
0 comments:
Post a Comment