KIM AFICHA UJAUZITO

Kim kardashian anayetarajia kujifungua mtoto julai mwaka huu kwa mimba ya msanii kanye west,ni kama vile hataki watu wajue yeye ni mjamzito.Pamoja na tumbo lake kuchomoza lakini mwanamitindo huyo amekuwa akilificha tumbo lake kwa kuvaa mavazi makubwa kulinganisha na tumbo lake ijumaa wakati akielekea uwanja wa ndege tayari kwa safari ya kwenda nchini nigeria alikowasili tarehe kumi na saba  alivaa nguo ambayo ni wazi hakutaka kujulikana kama ni mjamzito
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment