Kim Kardashian and Kanye West wakiwa wametembelea the Christ the Redeemer statue pange za Rio De Janeiro, Brazil,jana jumamosi
Kanye west anaonekana ni mtu mwenye kufuraia sana maisha yake baada ya kuachana na ambal rose ila pia ni mtu ambae yuko beze sana na biashara zake kitu ambacho kina mfanya kukaa mbali na familia ya kardashian tofauti na mashemiji wezie walio hoa katika familia hio kwanye anatarajia mtoto
kanye yuko beze akichukua akipiga picha za kutosha nchini brazili
Akiwa na simu yake ya gold akifanya mambo yake
0 comments:
Post a Comment