Rapper kutoka kundi la Watengwa lililopo A-City, JCB ambae hivi karibuni
ametoka kuachia track yake inayokwenda kwa jina la Niende Wapi akiwa
ameshirikiana na Domokaya amevuta jiko hivi karibuni...
|
JCB
sasa ameuacha u-bachelor rasmi baada ya kufunga ndoa rasmi siku ya
jumatano ya Tarehe 20 mwezi huu. Ndoa hii imeonekana kuwa ni ya kimya
kimya sana maana sio watu wengi waliokuwa wakijua juu ya tukio hilo. |
|
ni baadhi ya picha za kwenye harusi hiyo... |
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment