MSANII
wa Muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Diamond Platinum ambaye jana alikuwa
akitumbuiza mjini Kigoma katika sherehe za maadhimisho ya miaka 36 ya
Chama cha Mapinduzi 'CCM', ubovu wa vyombo vya muziki vilivyokuwa
vikitumika kwenye tamasha hilo vilimfanya kusimamisha shoo yake kwa
muda hadi pale viliporekebishwa na kuanza kutumbuiza upya.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment