
Mwandishi wetu alipiga stori na mwanamziki huyu ni kwanini ana muiga sana msanii wa G-UNIT miondoko ya hiphop 50cent kutoka marekani aya ndo maneno alio sema king zilla"Unajua hakuna msanii niliekuwa namkubali sana na hadi leo nakubali kazi zake na ninamfatilia kila kitu anacho fanya kama uyu msela yani mimi namkubali sana yani japokuwa kwa sasa ameshuka kimuziki ila aina maana ndo nimuweke kapuni"alisema zilla.
Akuishia hapo alisema kwamba ni kweli mimi na muiga sana 50 na ninandoto ya kufanyanae kazi mungu akinijalia.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment