Dj CHOKA ambae ni DJ na pia msanii kutoka lebo ya B'HITZ MUSIC GROUP.Leo
ahsubuhi kwenye mtandao wakijamii wa facebook kupitia account yake
alipost maneno ya shukrani kwa mashabiki wake wote na kuelezea kwa
kushangazwa kwa upokeaji mkubwa wa nyimbo yake mpya iitwayo "PRESS PLAY"
Hivi ndivyo alivyopost
"NASEMA NENO MOJA TU ILI ROHO ZENU ZIPONE:
Kiukweli sikutarajia na wala sikuamini kwa jinsi mnavyoendelea kunipokea
kwa kile ninachokifanya kwenye huu mziki wa nyumbani. Wakati naanza
kutoka na PAMOJA WE CAN haikuwa hivi na ndio maana hata natoa hii PRESS
PLAY nilichukulia kawaida tu lakini ikawa NDIVYO SIVYO. Nimepata hongera
nyingi za kuwa video ya PRESS PLAY ni nzuri sanaaaa. Ila naendelea
kutambua kuwa huwezi kufanya kitu peke yako na kikawa kizuri bila kuwa
na backup yako nyuma, thanks so much my team BHITZ MUSIC GROUP TANZANIA
na bila kuwasahau nyie watanzania kwa sababu wazungu wanasema I HAVE
NOTHING WITHOUT YOU. "
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment