CHRIS BROWN AMDISS KANYE WEST KWA KUVAA SKETI.

Kanye West alitupia mavazi meusi ya aina ya ngozi au rather, ambapo alivaa sketi, nguo za ndani nazo pia zilikuwa za rather nyeusi siku ya 12/12/12 katika show moja iliyopigwa New York City.

Wapo waliomuona msanii huyo kituko na kubaki midomo wazi kwa kitendo hicho cha kuvaa sketi mbele ya umati uliohudhuria tamasha hilo. Lakini kwa msanii kipenzi cha Rihanna yeye alikuja na mtazamo tofauti kidogo. Chris Brown yeye aliamua kumuita Kanye West kuwa ni dress - up "suspect" na kuwa hatosubutu kuruhusu nafsi yake kuiga swagga hizo za msanii Kanye West.
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment