Aika
Aka First Lady wa Pah 1 ametangaza Rasmi Kujitoa kwenye kundi la Pah 1
pamoja na Rapper na Producer wa Pah One `Nah Real'. Aika amesema
kutokuelewana kwenye kundi ndio kumefanya ajitoe na hajawahi kuongelea
jambo hili mapema kwani hakutaka watu wahukumu upenda wowote wa kundi
hilo nakuonekana ndio lenye makosa. Pia Aika amesema Nah Real pia ni
solo Artist na yeye na Nah Real Hawaja vunja Kundi Hilo na wamechukizwa
na taarifa kuwa mapenzi yake na Nah Real Ndio yamevunja kundi hilo.
Wimbo wa kwanza wa Nah Real Na Aika utatoka tarehe 14 Mwazi Huu.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment