Wa
katikati kwenye hii picha ndio mwimbaji Peter Okoye wa kundi la P
Square kutoka Nigeria ambae mpenzi wake ambae bado hawajafunga ndoa
kajifungua mtoto wao wa pili akiwa ni wa kike, wa kwanza ni wa kiume
anaitwa Cameron na ana umri wa miaka minne.

Mpenzi
wa Peter Okoye aitwae Lola Omotayo akiwa kitandani muda mfupi tu baada
ya kujifungua, watoto wao wote wawili wamezaliwa nchini Marekani.
0 comments:
Post a Comment