
Hii ndio picha waliyopiga wakiwa kwenye boti Dubai, na ndio imeipa uzito stori yao ya mapenzi.
Hiyo picha hapo juu imepostiwa
na mwimbaji staa wa Nigeria Tiwa Savage akiwa na meneja wake ambapo
wataalamu wa mambo wanasema picha hiyo imeashiria na kuweka uzito zaidi
kwenye taarifa zinazoaminika kwamba Tiwa yuko kwenye uhusiano mzito wa
kimapenzi na meneja wake aitwae Tee Billz.
Wawili hao kwa sasa wako Dubai
wanakokula bata la kutosha ambapo Tiwa imekua sio tabu kwake kuonyesha
hisia zake na kumshukuru meneja wake kwa msg kadhaa kupitia twitter
ambazo zina maudhui ya kimapenzi.

.

.

.
Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.
0 comments:
Post a Comment