Maelfu waliojitokeza kumzika marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki' katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wasanii wakijipanga kumzika marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki'.
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki' likiwasili makaburini tayari kwa maziko.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mh. Jakaya Kikwete akiwa ni mmoja ya waombolezaji
waliojitokeza katika maziko ya msanii huyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mh. Jakaya Kikwete akiweka udongo kwenye Kaburi la Marehemu
Juma Kilowoko 'Sajuki' yaliyofanyika mchana huu kwenye Makaburi ya
Kisutu, Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment