WEMA AFUNGUKA SUPERSTAR IMEMGHARIMU ZAIDI YA MIL 30
Muvi mpya sepetu inayoitwa superstar ametumia mkwanja mrefu, ndani ya muvi kuna mastaa kibao kama barnaba, shetta, T.I.D, mr.blue, ben kinyaiya na wengine kibao, muvi imeelezea maisha yake halisi ya kisuperstar "Kama unavyoona casting ilivyo, nimewatumia watu ambao kiukweli ni masupastaa wa ukweli ambao kwa namna moja amanyingine wanahusiana na maisha yangu ya ukweli nje ya muvi".
Uko juu mwanadada kep up
ReplyDelete