Diss Nyingine Ya 50 Cent Kutoka Kwa Rapper Game.


Diss nyingine kutoka kwa rapper Game kwa 50 Cent na this time inahusu kurudi G Unit. Rapper Game amelianzisha tena na hasimu mwenzake 50 Cent kwa kumtaja yeye na kundi lake la G Unit kwenye wimbo wa 'Hollywood' Ambao upo kwenye mixtape yake mpya ya "OKE". Joint hii Imetoka October 11 na kashirikishwa rapper Scarface.
Kwenye wimbo Game anasema “Hub City thugs wit me, buck 50,”  “Reunite with G-Unit, bitch fuck 50”
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment