RAY J ATAKA KUYAHARIBU MAUSIANO YA KANYE NA KIM

EX 'BOI FREND' wa baby mama mtarajiwa wa Kanye West, Ray J amejizolea attention za kutosha tu kwa ujio wake mpya katika game ya muziki, baada ya kuchia ngoma yake mpya ambayo ameipatia jina 'I hit it first' kazi ambayo moja kwa moja inaashiria kuwa amemuimbia Kim Kardashian.

Hii wakati ikitambulika kuwa yeye pamoja na Kim waliwahi kuwa na uhusiano Deep sana back in those days na hadi kufikia hatua ya kurekodi picha wakifanya 'mambo ya kwenye video', kitu ambacho pengine pia, ndio sababu kubwa jamaa ameamua kukumbushia kuwa... licha ya kwamba myamwezi Kanye West ndio anafaidi na amepanda mbegu kwa sasa, mimi ndio niliona na kuonja wa kwanza :).

Mshkaji akaamua kwenda far na kutengeneza project cover art ambayo ina picha ya Kim ya zamani ambayo pixel zake zime-twistiwa' kimtindo.



Ndani ya song hili pia, Kuna lines ambazo moja kwa moja zinamlenga Kim na historia yake ya kuchange lovers, Cheki hapa.


She might move on to rappers and ballplayers
But we all know I hit it first.

I had her head going North and her ass going South
But now baby chose to go West

No matter where she goes or who she knows
She still belongs in my bed.

Kwa sasa pia inaelezwa kuwa, Ray J yuko na plans za kutengeneza video ya pini hili akiwa na video model ambaye anafanana kabisa na Kim lakini bado haijathibitika rasmi.'
SHARE

Milan Tomic

Hi. I’m Designer of Blog Magic. I’m CEO/Founder of ThemeXpose. I’m Creative Art Director, Web Designer, UI/UX Designer, Interaction Designer, Industrial Designer, Web Developer, Business Enthusiast, StartUp Enthusiast, Speaker, Writer and Photographer. Inspired to make things looks better.

  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
  • Image
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment