Msanii nguli wa Muziki wa Taarab asili kutokea visiwa vya Zanzibar
nchini Tanzania, Fatuma binti Baraka maarufu kama Bi. Kidude amefariki
dunia leo huko Zanzibar.
Endelea kusikiliza kusoma blog yetu kwa habari zaidi.
Endelea kusikiliza kusoma blog yetu kwa habari zaidi.
Milan Tomic
0 comments:
Post a Comment