Haitavutia siku hiyo mkigombana, mtashangaza kwa maana asilimia kubwa ya wapendanao watakuwa kwenye furaha isiyo na kifani. Sasa basi, kuhakikisha amani inatawala, tafuta suluhu na mpenzi wako mapema (kama kuna mgogoro), halafu elimika kuhusu wivu, maana wenyewe ndiyo chokochoko.
TUELIMIKE KUHUSU WIVU ILI TUSHEREHEKEE VALENTINE’S DAY VIZURI
Haitavutia siku hiyo mkigombana, mtashangaza kwa maana asilimia kubwa ya wapendanao watakuwa kwenye furaha isiyo na kifani. Sasa basi, kuhakikisha amani inatawala, tafuta suluhu na mpenzi wako mapema (kama kuna mgogoro), halafu elimika kuhusu wivu, maana wenyewe ndiyo chokochoko.
0 comments:
Post a Comment